Ahmed Madoobe: Nikifanikiwa Kuikamata Kismaayo Nitatumia Sheria ya Marshal Law, Na Waungwaji Mkono wa Al-Shabaab Watajuta.(SIRI KUBWA)

Written by Maamul on .

Kikao kilichofanyika hivi karibuni ktk Mji wa Afmadow ambao ni kituo kikuu cha Jeshi la Kenya kilichambuliwa maswala muhimu yakiwemo Uvamizi wa Kenya Dhidi ya ndoto ya KENYA kuiteka Mji wenye Bandari wa Kismaayo,Kikao kiliwajumuisha Baadhi ya Maofisa wakuu wa Jeshi la Kenya na Maofisa wa Kisomali,

Kikao hicho kilichofanyika kabla ya Mapambano makali yalitokea ktk Mji huo ambapo wanajeshi wengi wa Jeshi la kenya waliuliwa na Miili yao kuonyeshwa kwa vyombo vya Habari vya ndani na nje, Shirika la Habari la Kiislaam kilipata siri ya kikao hicho amabapo Ahmed Modoobe alibainisha ktk kikao hicho mbele ya Maofisa waliokuweko ktk Kikao Hicho Mpango wake mpya Juu ya Indapo Kenya watakamata Mji wa Kismaayo!,

Ahmed Madobe lijigamba na kujionyesha kuwa hakuna kizuizi kilicho mbele yake na endapo atakamata Mji Huo basi Sheria au Utawala atakao utumia itakuwa ni ile ya Kuwatumia wanajeshi aliyousema kuwa watituliza hali ya Usalama wa Eneo Zima le Juba Lower ni kama alivyo sema mwenyewe Ahmed Madobe,

Siri hii imeabiwa na Shirika la habari la kislaam na Mtu amabaye yuko karibu na Ahmed Madobe ambao huenda iksababisha Ugomvi wa Kisiasa Dhidi ya Ahmed Madobe na Mtu aliyeivujisha siri hii kwa jina la (Ahmed Arab) Ingawa hatukuweza kuthibisha ukweli wa Jina Hilo,

Ametuleza (Arab) kuwa sheria ya Marshal law amabae anataka kuitumia kiongozi huyo Ahmed Madoobe ni kuwatumia wanjeshi wake kwa Muda wa Miezi miwili ambao Uwezo wote ni ya wanajeshi hufanya watakacho na Huharibu chochote kile watakacho,

Ni vigumu kwa Usalama wa Kismayo urudishwe kama ilivyokuwa hapo awali alisema Ahmed Madobe na kuongezea kusema kuwa Ndani ya miezi miwili hiyo atawatumia wanajeshi kutawala Mji huo na kuwalenga watu waliokuwa wakiwaunga Mkono Harakat Al-shabaab Al Mujahideen na Kuwaua kufanya Ubakaji na Kuiba mali za za watu na kila kiovu ambao watu watatamani hali ya Usalama urudi haraka iwezekanavyo,

Siri hii nzito inaeleza zaidi kuwa Ahmed Madoobe atawalenga Baadhi ya wazee wa Kikoo waliojitangaza na kusema kuwa wao ni ma Ansaar akimaanisha Makabila yote waliowaunga Mkono Harakat Al-shabaab Al Mujahideen na amesema wao ndio watakaolengwa Haswa na sheria hii ya Marshal Law! Ahmed Madobe hakutaja Kabila flani atakao walenga Indapo atafanikiwa kuikamata Mji wa Kismaayo,

Ahmed Madobe amesema kuwa Kismaayo ni Mji ambao Al shabaab wana nguvu na udhibiti mkuwa lakini kuna Majasusi ambao tumewatuma na kuanza kuwaangalia watu wanaowaunga Mkono Al-shabaab na watajutia wale wote watakao bainika na Haswa makabila waliowaunga Mkono Al-shabaab wataadhibiwa vilivyo alisema Ahmed Maddobe,

Tulipomwuliza Afisa huyo amabae jina lake tumelitaja hapo juu (Arab) kuwa endapo sheria hiyo itawadhiri baadhi ya Koo zilizop Mjini Kismaayo amsema kuwa lengo na siasa zetu ndio kuwadhoofisha/kuwapiga vita Baadhi ya Koo amabao ametutajia lakini kwa sasa hatutoweza kuliandika Majina ya Koo hizo kwasababu isiyozuilika!

Ikumbukwe kuwa hivi karibuni Msemaji wa Jeshi la Kenya Emanuel Chir Chir alisema kuwa Ingawa Mji wa Kismaayo Al-shabaab kuwa na Nguvu na Uwezo lakini kuna uunwaji mkono kwa Al-shabaab Vibaya, amesema watachukuliwa hatua kali dhidi ya Koo zitakazobainika kushirikiana na Al-shabaab, Kauli ya Msemaji huyo wa Jeshi la Kenya inatuthibitishia kuwa ukweli wa Siri hii iliyo Vuja!